Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Kijana wa Kipalestina aliuawa shahidi wakati wa uvamizi wa wanajeshi katili wa Israel karibu na mji wa Jenin katika sehemu ya kaskazini ya Ukingo wa Magharibi.
Habari ID: 3475788 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/15
TEHRAN (IQNA)- Vikosi vya kijeshi vya utawala ghasibu wa Israel vimempiga risasi na kumuua shahidi kijana mwingine wa Kipalestina katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo siku ya Jumatatu.
Habari ID: 3475735 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/05
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa Israel wamemuua kijana wa Kipalestina wakati wa kukamatwa katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu
Habari ID: 3475423 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/25
Udhalimu wa Israel
TEHRAN (IQNA) - Nyumba za Wapalestina zilibomolewa na wanajeshi wa utawala dhalimu Israel huko Al-Quds (Jerusalem) na mji wa Ukingo wa Magharibi wa Ramallah siku ya Jumatano.
Habari ID: 3475412 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/22
TEHRAN (IQNA)-Utawala wa Kizayuni wa Israel umezindua mpango haramu wa kujenga nyumba mpya zipatazo elfu nne katika eneo la Ukingo wa Magharibi, Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3475219 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/07
TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamebomoa msikiti wa Wapalestina katika mji wa Duma, kusini mwa eneo linalokaliwa kwa mabavu na utawala huo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3474520 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/05
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imesiistiza ulazima wa kuuwajibisha utawala haramu wa Israeli kwa uhalifu wake dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3474141 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/30
TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewahujumu Wapalestina waliokuwa wakiandamana kwa amani dhidi ya ujenzi wa vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni katika mji wa Nablus ulio katika eneo linalokaliwa kwa mabavu la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3474065 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/03
TEHRAN (IQNA) – Askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewashambulia Wapalestina waliokuwa wakiandamana katika kijiji cha Beit Dajan katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan kupinga ujenzi wa vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni.
Habari ID: 3473625 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/06
TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamebomoa msikiti na majengo kadhaa ya Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3473596 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/27
TEHRAN (IQNA) – Wapalestina wameandaman katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan kupinga hatua ya utawala haramu wa Israel kuendelea kujenga vitongoji vya walowezi wa Kizayuni.
Habari ID: 3473585 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/23
TEHRAN (IQNA) – Utawala wa Kizayuni wa Israel umeidhinisha ujenzi wa nyumba mpya 2,166 za walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3473263 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/15
TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Kizayuni umeamua kujenga maelfu ya nyumba za walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina unazoendelea kupora huko Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3473235 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/06
TEHRAN (IQNA) - Utawala haramu wa Kizayuni umekusudia kunyakua asilimia 30 zaidi ya ardhi za Palestina za Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan ilizozivamia na kuanza kuzikalia kwa mabavu mwaka 1967 na kuziunganisha na ardhi zingine ilizozipa jina la Israel, ukiwa ni muendelezo wa malengo yake ya muda mrefu ya kuikalia kwa mabavu Palestina yote.
Habari ID: 3472967 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/16
TEHRAN (IQNA) – Wanajeshi wa Utawala wa Kizayuni wa Israel wamwashambulia na kuwafyatulia risasi Wapalestina ambao walikuwa wanashiriki katika mazishi ya Mpalestina, Ibrahim Mustafa Abu Yakub.
Habari ID: 3472952 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/12
TEHRAN (IQNA) - Mpalestina ameuawa shahidi kwa kupigwa risasi na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3472947 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/10
TEHRAN (IQNA) - Jumatano Wapalestina walifanya maandamano makubwa dhidi ya utawala haramu wa Israel chini ya anuani ya ‘Siku ya Hasira’ maandamano ambayo yaliungwa mkono kimataifa.
Habari ID: 3472923 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/02
TEHRAN (IQNA) - Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amesema nchi yake inapinga hatu aya utawala wa Kizayuni wa Israel kuteka eneo zaidi la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3472919 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/01
TEHRAN (IQNA) –Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Kupigania Ukombozi wa Palestina (Hamas) amependekeza mfumo mpya wa uongozi wenye kujumuisha wote ili kupatikane umoja wa kitaifa Palestina.
Habari ID: 3472914 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/30
TEHRAN (IQNA)- Israel inashinikizwa na jamii ya kimataifa isitishe mpango wake wa kupora maeneo zaidi ya Palestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3472895 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/24